Danieli 7:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Kutokana na maneno ya kujivuna yaliyokuwa yanasemwa na ile pembe, nikaendelea kuangalia. Nikaona yule nyama wa ine akiuawa, mwili wake ukaharibiwa na kutolewa uchomwe kwa moto. Viz kapitola |