Online Bible

- Reklamy -




Danieli 6:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Danieli alipojua kwamba ile sheria imetiwa sahihi, alirudi kwa nyumba yake kwenye gorofi katika chumba chake kilichokuwa na madirisha yaliyofunguka kuelekea Yerusalema. Humo, Danieli, kama ilivyokuwa kawaida yake, alipiga magoti mara tatu kila siku kwa kuomba na kumushukuru Mungu wake.

Viz kapitola kopírovat




Danieli 6:11

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy