Online Bible

- Reklamy -




Danieli 5:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

16 Lakini, nimesikia kwamba wewe unaweza kueleza vitendawili na kutambua mafumbo. Basi, kama ukiweza kusoma maandiko haya na kunielezea maana yake, utavalishwa nguo nzuri ya rangi nyekundu na kuvalishwa mukufu wa zahabu katika shingo lako. Utapewa nafasi ya tatu katika ufalme huu.

Viz kapitola kopírovat




Danieli 5:16

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy