Online Bible

- Reklamy -




Danieli 5:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

12 kwa sababu ana roho njema, maarifa, ujuzi wa kufasiria ndoto, kufumbua mafumbo na kutatua matatizo. Jina la mutu huyo ni Danieli ambaye baba yako alimwita Beltesaza. Basi wamwite, naye atakuelezea maana ya maandiko haya.

Viz kapitola kopírovat




Danieli 5:12

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy