Online Bible

- Reklamy -




Danieli 3:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

27 Maliwali, wasimamizi, wakubwa wa majimbo na washauri wa mufalme, wote wakakusanyika pamoja, wakaona kwamba ule moto haukuweza kuwaunguza hao watatu. Nywele zao hazikuungua, nguo zao hazikuungua wala hawakuwa na harufu yoyote ya moto.

Viz kapitola kopírovat




Danieli 3:27

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy