Online Bible

- Reklamy -




Danieli 2:41 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

41 Uliona vilevile kwamba vikanyagio na vidole vya sanamu hiyo vilikuwa nusu udongo wa mufinyanzi na nusu chuma. Hii ina maana kwamba ufalme huo utagawanyika; lakini ndani yake kutakuwa nguvu za chuma kwa sababu kulikuwa chuma kilichochanganyikana na udongo wa mufinyanzi.

Viz kapitola kopírovat




Danieli 2:41

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy