Online Bible

- Reklamy -




Danieli 2:40 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

40 Nyuma ya falme hizo, kutafuata ufalme mwingine wenye kuwa imara kama chuma. Na kama vile chuma kinavyovunja na kupondaponda vitu vyote, ndivyo ufalme huo utakavyovunjavunja na kusaga kabisa falme zilizotangulia.

Viz kapitola kopírovat




Danieli 2:40

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy