3 Tunawatakia neema na amani toka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo.
Ninawaandikia ninyi wote wapenzi wa Mungu munaokaa Roma, mulioitwa kuwa watu wake watakatifu. Ninawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.
Ninawatakia neema na amani toka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.
Ninamushukuru Mungu wangu siku zote nikikukumbuka wewe Filemono katika maombi yangu.